Sifa Lyrics

Mipango Ya Mungu by Jemimmah Thiong'o cover art

Jemimmah Thiong'o - Mipango Ya Mungu Lyrics

Artist:
Jemimmah Thiong'o

Lyrics

Mipango ya mungu ni ya ajabu.
Mipango ya mungu haipangapo

hakuna mwanadamu yeyote

haweza kuipangua mipango ya mungu.


Kila mtu ana riziki yake .
Kila mtu ana baraka zake.
Mafanyikio maishani mwetu

huenda sambamba na mipango ya mungu .


Mipango ya mungu ni ya ajabu .
Mipango ya mungu haipangapo

hakuna mwanadamu aweza

kuipangua mipango ya mungu.


Kuzaliwa malezi na elimu

sijivune mungu ndiye aliyepanga.
Alipanga upate hivi vyote

ili ukaweze kumtukuza kwazo.


Mipango ya mungu ni ya ajabu.
Mipango ya mungu aipangapo

hakuna mwanadamu yeyote

aweza kuipangua mipango ya mungu.


Alipanga mchana kuwe jua

akapanga usiku kuwe mwezi

giza usiku na mwanga mchana.
Ni nani atayesema.
Aweza kuipangua.


Mipango ya mungu ni ya ajabu

mipango ya mungu aipangapo

hakuna mwanadamu yeyote

aweza kuipangua mipango ya mungu.


Video