Sifa Lyrics

Uniongoze by Ali Mukhwana cover art

Ali Mukhwana - Uniongoze Lyrics

Artist:
Ali Mukhwana

Lyrics

Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana, sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana, sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu


Wewe uliye nihesabia haki
Ukanipa uzima wako kutoka juu
Mungu wa mababu zangu
Tena mungu wa eliya
Tuna Imani na wewe
Tunakutazamia wewe
Ninachotaka mimi, uniongoze


Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana, sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu


Usipo tuongoza bwana
Ni nani atatuongoza
Mungu muumba mbingu na nchi
Ni wewe Baba yangu
Nishike mkono wangu bwana
Uniongoze Jehowah
Bwana mungu wangu wangu, uniongoze


Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana, sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu


Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana, sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana, sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu


Video