Uko Nami Lyrics - Sound of Worship
Sound of Worship swahili
Uko Nami Lyrics
Ukuu wako washangaza,
Uzuri wako wapendeza,
Amani yaliwaza wewe ndiwe Mungu na
Uaminifu wako ni wa ukweli
Uwezo wako wadumu milele
Baraka zako hazina ukingo wewe ni Yahweh
Japo nipitapo,Kwenye Bonde na Mauti
Sitahofu maana Wewe u Nami
Gongo lako fimbo yako
Bwana Vyanifariji
Aaah,Uko nami Baba
Uko nami
Uko nami
Uko nami
Hautoniacha kamwe
Uko nami
Uko nami
Uko nami
Hautoniacha kamwe
Ukuu wako washangaza,
Uzuri wako wapendeza,
Amani yaliwaza wewe ndiwe Mungu na
Uaminifu wako ni wa ukweli
Uwezo wako wadumu milele
Baraka zako hazina ukingo wewe ni Yahweh
Japo nipitapo,Kwenye Bonde na Mauti
Sitahofu maana Wewe u Nami
Gongo lako fimbo yako
Bwana Vyanifariji
Aaah,Uko nami Baba
Uko nami
Uko nami
Uko nami
Hautoniacha kamwe
Uko nami
Uko nami
Uko nami
Hautoniacha kamwe
Waandaa Meza mbele yangu
Machoni pa Adui zangu wote
Umenipaka mafuta Kichwani Changu
Kikombe Changu Kinafunika
Kikombe Changu Kinafunika
Waandaa Meza mbele yangu
Machoni pa Adui zangu wote
Umenipaka mafuta Kichwani Changu
Kikombe Changu Kinafunika
Kikombe Changu Kinafunika
Kikombe Changu Kinafunika
Nitakaa Nyumbani mwako,Siku zote za Maisha yangu
Nitakaa Nyumbani mwako,Siku zote za Maisha yangu
Nitakaa Nyumbani mwako,Siku zote za Maisha yangu
Nitakaa Nyumbani mwako,Siku zote za Maisha yangu
Mimi Nitaimba Uzuri wako Yesu
Nitaimba Uzuri wako
Nitaimba Uzuri wako
Nitaimba Uzuri wako
Mimi Nitatangaza matendo Yako Makuu
Nitatangaza matendo Yako Makuu
Nitatangaza matendo Yako Makuu
Baba Baba Baba eh Baba
Baba Baba Baba eh Baba
Baba Baba Baba eh Baba
Baba Baba Baba eh Baba
Eh Baba eh Baba Baba Baba
Eh Baba eh Baba Baba Baba
Eh Baba eh Baba Baba Baba
Tunakupenda Baba Baba Baba
Tunakupenda Baba Baba Baba
U Mwaminifu Baba Baba Baba
U Mwaminifu Baba Baba Baba
Eh Baba eh Baba Baba Baba
Eh Baba eh Baba Baba Baba
Wema Fadhili Baraka Zitatufuata
Wema Fadhili Baraka Zitatufuata
Wema Fadhili Baraka Zitatufuata
Wema Fadhili Baraka Zitatufuata
Zitatufuata
Zitatufuata
Zitatufuata