Princess Rukwaro - Yesu Wewe Lyrics
Lyrics
Wewe ni Muumba, wa mbingu na nchi Na nguvu zako, hazina kipimo Ahadi zako, ndio na amina Yesu we we we mfalme mkuu
Chorus Yesu wewe, pokea sifa Yesu wewe, mpenzi wangu Unanitosha, we pekee yako Kando yako, hakuna mwingine
Wewe ni zaidi, ya mawazo yangu Hakuna meno, lakuelezea Nakutegemea, kwa maisha yangu Yesu wewe we mimi ni wako
Nafsi Yangu, kupungukiwa Mbali we ni mwamba, wa moyo wangu U sehemu yangu, kimbilio langu Ngome imara, Kwako nasimama
Video
YESU WEWE by PRINCESS RUKWARO [OFFICIAL VIDEO]