Mungu ni pendo

by Hope Samwel | in Tenzi
Mp3

Mungu ni pendo apenda watu,
Mungu ni pendo anipenda

Sikilizeni furaha yangu,
Mungu ni pendo, anipenda

Nilipotea katika dhambi,
nikawa mtumwa wa shetani

Sikilizeni furaha yangu,
Mungu ni pendo, anipenda

Akaja Yesu kuniokoa,
yeye kanipa kuwa huru
Sikilizeni furaha yangu,
Mungu ni pendo, anipenda

Sababu hii namtumikia,
namsifu yeye siku zote.
Sikilizeni furaha yangu,
Mungu ni pendo, anipendaTop Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mungu Ni Pendo :

1 Comments/Reviews

  • Agustino Legazo

    nyimbo ni nzuri na inaleta utukufu wa bwana
    1 year ago