Tazama mimi nitatenda jambo jipya
sasa litajipuka anasema bwana
nitafanya njia
jangwani
na mito ya maji
nyikani
Tazama mimi nitatenda jambo jipya
sasa litajipuka anasema bwana
nitafanya njia
jangwani
na mito ya maji
nyikani
Tazama mimi nitatenda jambo jipya
sasa litajipuka anasema bwana
nitafanya njia
jangwani
na mito ya maji
nyikani
Umaskini shida mateso zimefika mwisho
ni wakati wa bwana mungu kutenda jambo jipya
utaitwa mbarikiwa mambo yote yatabadilika
mambo ya zamani usiyatafakri tena
Tazama mimi nitatenda jambo jipya
sasa litajipuka anasema bwana
nitafanya njia
jangwani
na mito ya maji
nyikani
Tazama mimi nitatenda jambo jipya
sasa litajipuka anasema bwana
nitafanya njia
jangwani
na mito ya maji
nyikani
Mambo yote magumu kwako mwanadamu
bwana yesu anayaweza yote
kama alifanya mito ya amji nyikani
lipi sasa asiloliweza
kilio kimefika mwisho maa tangazo kwako ,sikia
maumivu yamefika baba tangazo kwako ,sikia
nasimama kwa uwezo wa roho mtakatifu nitangaze
uliye mgonjwa sasa natangaza uponyaji
uliye na maumivu natangaza yakome
uliye mgonjwa sasa natangaza uponyaji
uliye na maumivu natangaza yakome
kwa jina
kwa jina
kwa jina
kwa jina
jina la yesu
inua
inua
inua
inua yesu
Yesu juu
Yesu juu
shetani chini
Yesu juu
Yesu juu
magonjwa chini
Yesu juu
Yesu juu
uchawi chini
Nasema chini
chini kabisa