Sipati Picha - Natamani mbingu mpya nchi mpya Song Lyrics

Neema Mwaipopo Sifa Music

Information for Artists

Watch Video for Sipati Picha - Natamani mbingu mpya nchi mpya

Read lyrics

Mwaipopo: Natamani nchi mpya aliyoiandaa Yesu.
Bass: natamani, natamani nchi mpya.
Bass: natamani, natamani nchi mpya.

Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2

Nitakapomwona mwana wa adamu, akija mawinguni kunichukua.
Na malaika wakishangilia eeh, sipati picha nitakavyo kuwa. x2

Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2

Nitakapofika kwa Baba yangu, nitaketi naye nikimtazama.
nderemo vinubi, na tarumbeta, sipati picha siku hiyo. x2

Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2

Atakaposema karibu mwanangu, taabu za dunia hautaziona.
nikiyalaani milele yote, kwa raha zangu mimi sipati picha.

Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2

Tags: Picha, Mpya, Nchi, Mbingu, Sifa Lyrics

Other songs by Neema Mwaipopo,

Related songs:

Nyimbo za sifa - Swahili Praise Songs lyrics related to Sipati Picha - Natamani mbingu mpya nchi mpya

Nishikilie Niongoze mbali na maovu Baba eeh
Jina la Yesu
Bado nasimama najikaza naendelea
Wewe Ndiwe Baba Yangu - Bwana Yesu
Ahadi za Bwana Yesu zitatimia

From the Bible

Categories