Nehemia 10 Swahili & English

Listen/Download Audio
Nehemia 10 (Swahili) Nehemiah 10 (English)

Basi hawa ndio waliotia muhuri; Nehemia, ndiye Tirshatha, mwana wa Hakalia, na Sedekia; Nehemia 10:1

Now those who sealed were: Nehemiah the governor, the son of Hacaliah, and Zedekiah,

Seraya, Azaria, Yeremia; Nehemia 10:2

Seraiah, Azariah, Jeremiah,

Pashuri, Amaria, Malkiya; Nehemia 10:3

Pashhur, Amariah, Malchijah,

Hamshi, Shekania, Maluki; Nehemia 10:4

Hattush, Shebaniah, Malluch,

Harimu, Meremothi, Obadia; Nehemia 10:5

Harim, Meremoth, Obadiah,

Danieli, Ginethoni, Baruki; Nehemia 10:6

Daniel, Ginnethon, Baruch,

Meshulamu, Abiya, Miyamini; Nehemia 10:7

Meshullam, Abijah, Mijamin,

Maazia, Bilgai, Shemaya; hao ndio waliokuwa makuhani. Nehemia 10:8

Maaziah, Bilgai, Shemaiah; these were the priests.

Na Walawi; ndio, Yeshua, mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli; Nehemia 10:9

The Levites: namely, Jeshua the son of Azaniah, Binnui of the sons of Henadad, Kadmiel;

na ndugu zao, Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani; Nehemia 10:10

and their brothers, Shebaniah, Hodiah, Kelita, Pelaiah, Hanan,

Mika, Rehobu, Hashabia; Nehemia 10:11

Mica, Rehob, Hashabiah,

Zakuri, Sherebia, Shebania; Nehemia 10:12

Zaccur, Sherebiah, Shebaniah,

Hodia, Bani, Beninu; Nehemia 10:13

Hodiah, Bani, Beninu.

Na wakuu wa watu; Paroshi, Pahath-Moabu, Elamu, Zatu, Bani; Nehemia 10:14

The chiefs of the people: Parosh, Pahath-moab, Elam, Zattu, Bani,

Buni, Azgadi, Bebai; Nehemia 10:15

Bunni, Azgad, Bebai,

Adonikamu, Bigwai, Adini; Nehemia 10:16

Adonijah, Bigvai, Adin,

Ateri, Hezakia, Azuri; Nehemia 10:17

Ater, Hezekiah, Azzur,

Hodia, Hashumu, Besai; Nehemia 10:18

Hodiah, Hashum, Bezai,

Harifu, Anathothi, Nobai; Nehemia 10:19

Hariph, Anathoth, Nobai,

Magpiashi, Meshulamu, Heziri; Nehemia 10:20

Magpiash, Meshullam, Hezir,

Meshezabeli, Sadoki, Yadua; Nehemia 10:21

Meshezabel, Zadok, Jaddua,

Pelatia, Hanani, Anaya; Nehemia 10:22

Pelatiah, Hanan, Anaiah,

Hoshea, Hanania, Hashubu; Nehemia 10:23

Hoshea, Hananiah, Hasshub,

Haloheshi, Pilha, Shobeki; Nehemia 10:24

Hallohesh, Pilha, Shobek,

Rehumu, Hashabna, Maaseya; Nehemia 10:25

Rehum, Hashabnah, Maaseiah,

Ahia, Hanani, Anani; Nehemia 10:26

and Ahiah, Hanan, Anan,

Maluki, Harimu, na Baana. Nehemia 10:27

Malluch, Harim, Baanah.

Na watu waliosalia, makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji, Wanethini, na hao wote waliojitenga katika watu wa nchi kwa torati ya Mungu; wake zao, na wana wao, na binti zao, kila mwenye maarifa na akili; Nehemia 10:28

The rest of the people, the priests, the Levites, the porters, the singers, the Nethinim, and all those who had separated themselves from the peoples of the lands to the law of God, their wives, their sons, and their daughters, everyone who had knowledge, and understanding;

wakaambatana na ndugu zao, wakuu wao, nao wakaingia katika laana na kiapo, ya kuwa wataiendea torati ya Mungu, iliyotolewa kwa mkono wa Musa, mtumishi wa Mungu, na kuziangalia, na kuzitenda, amri zote za Bwana, Bwana wetu, na hukumu zake na sheria zake; Nehemia 10:29

They joined with their brothers, their nobles, and entered into a curse, and into an oath, to walk in God's law, which was given by Moses the servant of God, and to observe and do all the commandments of Yahweh our Lord, and his ordinances and his statutes;

wala tusiwaoze watu wa nchi binti zetu, wala kuwatwalia wana wetu binti zao; Nehemia 10:30

and that we would not give our daughters to the peoples of the land, nor take their daughters for our sons;

tena watu wa nchi wakitembeza biashara, au chakula cho chote, siku ya sabato, tusinunue kwao siku ya sabato, au siku takatifu; tena kwamba tuuache mwaka wa saba, na madai ya kila deni. Nehemia 10:31

and if the peoples of the land bring wares or any grain on the Sabbath day to sell, that we would not buy of them on the Sabbath, or on a holy day; and that we would forego the seventh year, and the exaction of every debt.

Tena tukajifanyia maagizo, kujitoza mwaka kwa mwaka theluthi ya shekeli kwa huduma ya nyumba ya Mungu wetu; Nehemia 10:32

Also we made ordinances for us, to charge ourselves yearly with the third part of a shekel for the service of the house of our God;

kwa mikate ya wonyesho, na kwa sadaka ya unga ya daima, na kwa sadaka ya kuteketezwa ya daima, ya sabato, na ya siku za mwezi mpya, na ya sikukuu, tena kwa vitu vile vitakatifu, na kwa sadaka za dhambi, za kuwafanyia Israeli upatanisho, na kwa ajili ya kazi yote ya nyumba ya Mungu wetu. Nehemia 10:33

for the show bread, and for the continual meal-offering, and for the continual burnt-offering, for the Sabbaths, for the new moons, for the set feasts, and for the holy things, and for the sin-offerings to make atonement for Israel, and for all the work of the house of our God.

Kisha tukapiga kura, makuhani, na Walawi, na watu, juu ya matoleo ya kuni, ili kuzileta nyumbani kwa Mungu wetu, kwa kadiri ya mbari za baba zetu, kwa nyakati zilizoamriwa, mwaka kwa mwaka, kukoka moto madhabahuni mwa Bwana, Mungu wetu, kama ilivyoandikwa katika torati; Nehemia 10:34

We cast lots, the priests, the Levites, and the people, for the wood-offering, to bring it into the house of our God, according to our fathers' houses, at times appointed, year by year, to burn on the altar of Yahweh our God, as it is written in the law;

tena kuleta malimbuko ya ardhi yetu, na malimbuko ya matunda yote ya miti ya namna zote, mwaka kwa mwaka, nyumbani kwa Bwana; Nehemia 10:35

and to bring the first fruits of our ground, and the first fruits of all fruit of all manner of trees, year by year, to the house of Yahweh;

tena wazaliwa wa kwanza wa wana wetu, na wa wanyama wetu, kama ilivyoandikwa katika torati, na wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe zetu na kondoo zetu, ili kuwaleta nyumbani mwa Mungu wetu, kwa makuhani watumikao nyumbani mwa Mungu wetu; Nehemia 10:36

also the firstborn of our sons, and of our cattle, as it is written in the law, and the firstborn of our herds and of our flocks, to bring to the house of our God, to the priests who minister in the house of our God;

tena tuyalete malimbuko ya unga wetu, na sadaka zetu za kuinuliwa, na matunda ya miti ya namna zote, mvinyo, na mafuta, kwa makuhani, hapo vyumbani kwa nyumba ya Mungu wetu; na zaka za ardhi yetu kwa Walawi; kwa kuwa hao Walawi wazitwaa zaka mijini mwote mwa kulima kwetu. Nehemia 10:37

and that we should bring the first fruits of our dough, and our heave-offerings, and the fruit of all manner of trees, the new wine and the oil, to the priests, to the chambers of the house of our God; and the tithes of our ground to the Levites; for they, the Levites, take the tithes in all the cities of our tillage.

Naye kuhani, mwana wa Haruni, atakuwako pamoja na Walawi, watwaapo zaka Walawi; nao Walawi wataipandisha zaka ya hizo zaka nyumbani kwa Mungu wetu, vyumbani, katika nyumba ya hazina. Nehemia 10:38

The priest the son of Aaron shall be with the Levites, when the Levites take tithes: and the Levites shall bring up the tithe of the tithes to the house of our God, to the chambers, into the treasure-house.

Kwa kuwa wana wa Israeli na wana wa Lawi wataleta sadaka ya kuinuliwa ya nafaka, na mvinyo, na mafuta, vyumbani, kwa kuwa ndimo vilimo vyombo vya patakatifu, na makuhani watumikao, na mabawabu, na waimbaji; wala sisi hatutaiacha nyumba ya Mungu wetu.

Nehemia 10:39

For the children of Israel and the children of Levi shall bring the heave-offering of the grain, of the new wine, and of the oil, to the chambers, where are the vessels of the sanctuary, and the priests who minister, and the porters, and the singers: and we will not forsake the house of our God.