Sifa Lyrics

Nimesikia Sauti by Martha Mwaipaja cover art

Martha Mwaipaja - Nimesikia Sauti Lyrics

Artist:
Martha Mwaipaja

Lyrics

Nimesikia sauti nyiingi 
Iliyoniponya ni ya YESU uuh!
Nimeambiwa habari nyiingi mi
Iliyo nivusha ni ya YESU


Nimesikia sauti nyingi sana mimi
Iliyo ni ganga moyo ni ya YESU
Nimeambiwa vitu vingi sana
Nilipo ambiwa na YESU nikapoona


Aah YESU ni tumaini 
Mahali pamepoteza time
Nilipaza sauti ili watu wanielewe
Akanielewa Masia


Nikajaribu jitetea watu wajue 
Akaniambia nimekutetea mwanangu
Akaniuliza una msikiliza nani
Nisikilize mwanangu utapona


Akasema ondoa aah kusikiliza wengine
Ukinisikiliza mimi utaishi
Nimesikia sauti za watu wengi
Lakini ya YESU ikaniponya eeeh!
Nimesikia (Sikia) sauti nyiingi


Ikiniambia, iliyoniponya (Endelea) 
Ni ya YESU (Nimekujua aah!)
Nimesikia (Eeh) sauti nyiingi 
Sauti ya YESU, Iliyoniponya (Ni ya upole)
Ni ya YESU uuh!


Aaaah ahsante YESU wangu
Umeponya wema wangu Baba aah
Uuuuh uuh hallelujah
YESU wewe ni wa wote eeh
Naomba Baba sikika kwa wengine
Wengi wamekosa,  pakuelekea


Wakikusikia wewe watapona aaah
Wameambiwa hawataweza kabisa
Wakikusikia Masia wataweza
Ameambiwa hawana tumaini
Ukisikika kwao wataishi
Uliposikika Israel walitoka Misri
 


Video