Sifa Lyrics

Unastahili Bwana Kupokea Utukufu by Kaberia cover art

Kaberia - Unastahili Bwana Kupokea Utukufu Lyrics

Artist:
Kaberia

Lyrics

Unastahili Unastahili unastahili Bwana

Kupokea utukufu heshima na uweza
Unastahili Bwana


Unastahili Unastahili unastahili Bwana

Kupokea utukufu heshima na uweza
Unastahili Bwana


Wewe wastahili wewe wastahili Bwana
Wewe wastahili wewe wastahili Bwana


Unastahili Unastahili unastahili Bwana

Kupokea utukufu heshima na uweza
Unastahili Bwana
Wewe wastahili wewe wastahili Bwana
Wewe wastahili wewe wastahili Bwana


Also Sung in Aflewo Worship


Video