Nina Haja nawe

Doudou Manengu SifaLyrics

Nina haja nawe Kila saa; Hawezi mwingine Kunifaa.

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Nina haja nawe; Kaa nami, Na maonjo haya, Hayaumi.

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Nina haja nawe; Kila hali, Maisha ni bure, Uli mbali.

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Nina haja nawe, Nifundishe Na ahadi zako Zifikishe.

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Nina haja nawe, Mweza yote, Ni wako kabisa Siku zote.

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Tags: Yesu, Nakuhitaji, Sifa Lyrics

Other songs by Doudou Manengu,

Related songs:

Swahili Praise and worship Songs Lyrics music lyrics related to Nina Haja nawe

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako lyrics
Mpango wa Kando lyrics
Upendo lyrics
Mfalme mwema mwaminifu Bwana Umetukuka - Mtakatifu lyrics
Wastahili mwanakondoo wa Mungu uliyechinjwa lyrics
Categories

From the Bible