Doudou Manengu - Ni Ujumbe Wa Bwana Lyrics

Ni Ujumbe Wa Bwana Lyrics


Ni ujumbe wa Bwana haleluya, kwa maisha ya daima,
Amenena mwenyewe haleluya, utaishi ukitazama

Tazama ishi sasa, kumtazama Yesu,
alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama

Uzima wa daima haleluya , kwake Yesu utauona,
ukimtazama tu haleluya, wokovu u peke kwa Bwana .

Tazama ishi sasa, kumtazama Yesu,
alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama

Ni ujumbe wa Bwana haleluya, nawe shika rafiki yangu,
ni habari ya raha haleluya, mwenye kuinena ni Mungu. .

Tazama ishi sasa, kumtazama Yesu,
alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama




Ni Ujumbe Wa Bwana Video

Doudou Manengu Songs

Related Songs