Sauti Sol - Set Me Free Lyrics

Lyrics

Hivi bado nakumbuka  Nikiwa kijana Ile bangi nilivuta  Pombe nilipewa kwa sana 

Na wasichana walinipenda  Wengine walinikataa Na hapa nilipoamka Sikulala jana

Napiga densi usiku kucha Vijana kwa wasichana Na masiri zilipasuka Wengi walizaana kwa sana

Na vijana wengi walikopa deni Wapeleke slayqueen maskani Wakatoanishwa bila kuonjeshwa Wasaniii tuliponea

Naomba, naomba nizidi kijana Naomba, naomba nizidi kijana Naomba, naomba nizidi kijana Woun't you set me free nizidi kijana

Kaja Facebook kaja Twitter Kaja pia na Instagram Wengi walibwaga moyo Na picha za kutesa sana

Na walitesa tesa Wazungu wanasemanga  Ati business and pleasure Inasaidinga wazae kupunguza pressure Vijana under pressure Wasanii tuliponea

Naomba, nizidi kijana Naomba, nizidi kijana Naomba, nizidi kijana Woun't you set me free nizidi kijana

Video

Sauti Sol - Set Me Free (Official Audio) SMS [Skiza 9935646] to 811

Thumbnail for Set Me Free video
Loading...
In Queue
View Lyrics