Sauti Sol - Rhumba Japani Lyrics
Lyrics
Kuna rhumba ya Juja na ni ya maboy Ukisaka mitumba enda rhumba ya Toi Kuna rhumba ya Kibich utajua hujui Kuna rhumba for all you niggas Ila rhumba Japani ndio rhumba
Kuna rhumba ya State House iko chini ya maji Kuna rhumba ya bunge ni ya majambazi Ukileta ujinga utalala ndani Kuna rhumba for all you niggas Lakini rhumba Japani ndio rhumba
Hapa ni wapi? Tumezungukwa na shisha na shahsamani mapochopocho na vinywaji mbali mbali Wengine wanatapika wakizirai
Hapa ni wapi? wanatutwanga mapicha ni paparazi Tumezungukwa na warembo geti kali Tunazitoka na style za kizamani
Kuna rhumba ya Westy, ya mabeshte Wa mashinani, shake your waiste Rhumba ni nyepesi, isikue kesi Kuna rhumba for all my niggas Ila rhumba Japani ndio rhumba
Kuna rhumba Karura, ya kupanda miti Ukiwa Koinange, hakunaga risiti Rhumba Oyole, hio ni ya mangwati To all of my hoes and all of my niggas Rhumba Japani ndio rhumba
Hapa ni wapi? Tumezungukwa na mabouncer kama chwani Kuna mapedi mapoko pia mapinji Na wanaseti michele kwenye vinywaji
Hapa ni wapi? Kuna visanga vioja mahakamani Wapenzi wapigana mate hadharani Wengine wanatekana nyuma ya taxi
Nitie rhumba obunga Mano mar jothurwa To kida bilo mbuta Rieri yo manyata
Yawuoi orwaka akala To nyiwa ondiso avunja Kuna rhumba for all you niggas Lakini rhumba Japani ndio rhumba
Aaaaaaah, aah.... Sol Generation you know Hii shit imeniweka zone Inatamba aaah..
Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje Kwa foleni, na raia wako ndani Wajivinjari, wanazitoka na style Ni za kiodi
Hapa ni wapi? Mawochi wote wameleta utiaji Wakafungia wakubwa nje ya party Wakaachia ofisi wafanyikazi
Video
Sauti Sol - Rhumba Japani ft Bensoul, Nviiri the Storyteller, Xenia Manasseh, Okello Max & NHP