Sauti Sol - Nenda Lote Lyrics

Lyrics

Umetuma wazazi wako waje wanielezee Umetuma wazazi wako waje wanielezee Hunitaki tena

Na mashoga zako waje waniambie Na mashoga zako waje waniambie Tumeshavunja ndoa

Siamini Kuna time singeishi bila wewe Mapenzi ya kukata na shoka eeh Yashamwagika hayazoleki haya oh Nenda lote mama, nenda lote mama

Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya oh Nenda lote mama

Ukatuma lawyer wako aje anisomee Ukatuma lawyer wako aje anisomee Kua watoto ulonizalia eeh Kua watoto ulonizalia eeh Sitawaona tena

Siamini kuna time tuliapa hadharani Kanisani kwa Chanda na Pete eeh Yashamwagika hayazoleki haya oh Basi nenda lote mama Nenda lote mama

Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya oh Nenda lote mama

Ukatuma pastor wako aje anikemee Ukatuma pastor wako aje anikemee Na madeni zangu ukazitangaza eeh Na madeni zangu ukazitangaza eeh Mitandaoni

Shemeji zangu ndugu zako tukionana Wambie sisi bado rafiki eeh Wasinipite barabarani mama oh Umeenda lote mama

Mpenzi unaenda Nilikuenzi kinomanoma Yashamwagika hayazoleki haya oh Nenda lote mama

Video

Sauti Sol - Nenda Lote (Official Audio) SMS [Skiza 9935647] to 811

Thumbnail for Nenda Lote video
Loading...
In Queue
View Lyrics