MwanaKondoo

Buy Mp3

Ulikubali mateso ya msalaba 
Ukalipa gharama yangu kwa damu 
Uliona kuwa Mungu si kitu, ukashuka chini 

Ulikubali mateso ya msalaba 
Ukalipa gharama yangu kwa damu 
Uliona kuwa Mungu si kitu, ukashuka chini 

Ulikubali mateso ya msalaba 
Ukalipa gharama yangu kwa damu 
Uliona kuwa Mungu si kitu, ukashuka chini 

Haleluya Haleluya 
Haleluya Mwana kondoo wa Mungu 
Uliyemwaga damu 
Naimba Haleluya 

Haleluya Haleluya 
Haleluya Mwana kondoo wa Mungu 
Uliyemwaga damu 
Naimba Haleluya 

Oh oh oooh-ooh-oh
Mwanakondoo wa Mungu 
Uliyemwaga damu 
Naimba Haleluya 


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mwanakondoo:

1 Comments/Reviews

  • Jamhuri Zacharia

    Naomba unicheki tuzungumze naitaji nyimbo Yangu hiwe kwenye mfumo wa lyrics nichek kwa imail
    5 months ago