Mambo ya Walawi 22 : 31 Leviticus chapter 22 verse 31
Swahili | English Translation |
---|---|
Mambo ya Walawi 22:31
Kwa hiyo mtayashika maagizo yangu, na kuyafanya; mimi ndimi Bwana.
|
Leviticus 22:31"Therefore you shall keep my commandments, and do them. I am Yahweh. |