Waebrania 1 : 7 Hebrews chapter 1 verse 7

Swahili English Translation

Waebrania 1:7

Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto.
soma Mlango wa 1

Hebrews 1:7

Of the angels he says, "Who makes his angels winds, And his servants a flame of fire."