Mwanzo 49 : 7 Genesis chapter 49 verse 7

Swahili English Translation

Mwanzo 49:7

Ghadhabu yao na ilaaniwe, maana ilikuwa kali, Na hasira yao, maana ilikuwa haina huruma. Nitawagawa katika Yakobo, Nitawatawanya katika Israeli.
soma Mlango wa 49

Genesis 49:7

Cursed be their anger, for it was fierce; And their wrath, for it was cruel. I will divide them in Jacob, Scatter them in Israel.