Mwanzo 46 : 1 Genesis chapter 46 verse 1

Mwanzo 46:1

Akasafiri Israeli, pamoja na yote aliyokuwa nayo, akaja Beer-sheba, akamchinjia sadaka Mungu wa Isaka babaye.
soma Mlango wa 46

Genesis 46:1

Israel traveled with all that he had, and came to Beersheba, and offered sacrifices to the God of his father, Isaac.
read Chapter 46