Mwanzo 42 : 3 Genesis chapter 42 verse 3
Swahili | English Translation |
---|---|
Mwanzo 42:3
Basi ndugu kumi wa Yusufu wakashuka Misri ili wanunue nafaka.
|
Genesis 42:3Joseph's ten brothers went down to buy grain from Egypt. |