Mwanzo 42 : 2 Genesis chapter 42 verse 2

Mwanzo 42:2

Akasema, Angalia, nimesikia ya kuwa kuna nafaka Misri; shukeni huko mkatununulie chakula, tupate kuishi wala tusife.
soma Mlango wa 42

Genesis 42:2

He said, "Behold, I have heard that there is grain in Egypt. Go down there, and buy for us from there, so that we may live, and not die."
read Chapter 42