Mwanzo 36 : 35 Genesis chapter 36 verse 35

Mwanzo 36:35

Akafa Hushamu, akamiliki Hadadi wa Bedadi badala yake, naye ndiye aliyepiga Midiani katika nyika ya Moabu, na jina la mji wake ni Avithi.
soma Mlango wa 36

Genesis 36:35

Husham died, and Hadad, the son of Bedad, who struck Midian in the field of Moab, reigned in his place. The name of his city was Avith.
read Chapter 36