Mwanzo 30 : 6 Genesis chapter 30 verse 6

Mwanzo 30:6

Raheli akasema, Mungu amenipa haki yangu, naye amesikia sauti yangu, akanipa mwana. Kwa hiyo akamwita jina lake Dani.
soma Mlango wa 30

Genesis 30:6

Rachel said, "God has judged me, and has also heard my voice, and has given me a son." Therefore called she his name Dan.
read Chapter 30