Mwanzo 30 : 1 Genesis chapter 30 verse 1

Mwanzo 30:1

Naye Raheli alipoona ya kuwa hamzalii Yakobo mwana, Raheli alimwonea ndugu yake wivu. Akamwambia Yakobo, Nipe wana; kama sivyo, nitakufa mimi.
soma Mlango wa 30

Genesis 30:1

When Rachel saw that she bore Jacob no children, Rachel envied her sister. She said to Jacob, "Give me children, or else I will die."
read Chapter 30