Mwanzo 28 : 12 Genesis chapter 28 verse 12

Mwanzo 28:12

Akaota ndoto; na tazama, ngazi imesimamishwa juu ya nchi, na ncha yake yafika mbinguni. Tena, tazama, malaika wa Mungu wanapanda, na kushuka juu yake.
soma Mlango wa 28

Genesis 28:12

He dreamed. Behold, a stairway set up on the earth, and the top of it reached to heaven. Behold, the angels of God ascending and descending on it.
read Chapter 28