Mwanzo 27 : 34 Genesis chapter 27 verse 34

Mwanzo 27:34

Esau aliposikia maneno ya babaye, akalia kilio kikubwa cha uchungu sana, akamwambia babaye, Nibariki na mimi, mimi nami, Ee babangu.
soma Mlango wa 27

Genesis 27:34

When Esau heard the words of his father, he cried with an exceeding great and bitter cry, and said to his father, "Bless me, even me also, my father."
read Chapter 27