Mwanzo 21 : 34 Genesis chapter 21 verse 34
Swahili | English Translation |
---|---|
Mwanzo 21:34
Ibrahimu akakaa hali ya ugeni katika nchi ya Wafilisti siku nyingi.
|
Genesis 21:34Abraham lived as a foreigner in the land of the Philistines many days. |