Mwanzo 2 : 7 Genesis chapter 2 verse 7

Mwanzo 2:7

Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
soma Mlango wa 2

Genesis 2:7

Yahweh God formed man from the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life; and man became a living soul.
read Chapter 2