Mwanzo 15 : 5 Genesis chapter 15 verse 5

Mwanzo 15:5

Akamleta nje, akasema, Tazama sasa mbinguni, kazihesabu nyota, kama ukiweza kuzihesabu. Akamwambia, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako.
soma Mlango wa 15

Genesis 15:5

Yahweh brought him outside, and said, "Look now toward the sky, and count the stars, if you are able to count them." He said to Abram, "So shall your seed be."
read Chapter 15