Mwanzo 10 : 7 Genesis chapter 10 verse 7

Swahili English Translation

Mwanzo 10:7

Na wana wa Kushi ni Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama ni Sheba, na Dedani.
soma Mlango wa 10

Genesis 10:7

The sons of Cush: Seba, Havilah, Sabtah, Raamah, and Sabteca. The sons of Raamah: Sheba and Dedan.