Mwanzo 10 : 25 Genesis chapter 10 verse 25

Mwanzo 10:25

Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.
soma Mlango wa 10

Genesis 10:25

To Eber were born two sons. The name of the one was Peleg, for in his days was the earth divided. His brother's name was Joktan.
read Chapter 10