2 Mambo ya Nyakati 28 : 1 2nd Chronicles chapter 28 verse 1

Swahili English Translation

2 Mambo ya Nyakati 28:1

Ahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na sita; wala hakufanya yaliyo ya adili machoni pa Bwana, kama Daudi babaye;
soma Mlango wa 28

2nd Chronicles 28:1

Ahaz was twenty years old when he began to reign; and he reigned sixteen years in Jerusalem: and he didn't do that which was right in the eyes of Yahweh, like David his father;