2 Mambo ya Nyakati 25 : 1 2nd Chronicles chapter 25 verse 1

Swahili English Translation

2 Mambo ya Nyakati 25:1

Amazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka ishirini na kenda; na jina la mamaye aliitwa Yehoadani wa Yerusalemu.
soma Mlango wa 25

2nd Chronicles 25:1

Amaziah was twenty-five years old when he began to reign; and he reigned twenty-nine years in Jerusalem: and his mother's name was Jehoaddan, of Jerusalem.