2 Mambo ya Nyakati 18 : 18 2nd Chronicles chapter 18 verse 18

Swahili English Translation

2 Mambo ya Nyakati 18:18

Mikaya akasema, Sikieni basi neno la Bwana; Nalimwona Bwana ameketi katika kiti chake cha enzi na jeshi lote la mbinguni wamesimama mkono wake wa kuume na wa kushoto.
soma Mlango wa 18

2nd Chronicles 18:18

[Micaiah] said, Therefore hear you the word of Yahweh: I saw Yahweh sitting on his throne, and all the host of heaven standing on his right hand and on his left.