2 Mambo ya Nyakati 18 : 10 2nd Chronicles chapter 18 verse 10

Swahili English Translation

2 Mambo ya Nyakati 18:10

Na Zedekia mwana wa Kenaana akajifanyia pembe za chuma, akasema, Bwana asema hivi, Kwa hizi utawasukuma Washami, hata watakapoangamia.
soma Mlango wa 18

2nd Chronicles 18:10

Zedekiah the son of Chenaanah made him horns of iron, and said, Thus says Yahweh, With these shall you push the Syrians, until they be consumed.