1 Samweli 15 : 35 1st Samuel chapter 15 verse 35

Swahili English Translation

1 Samweli 15:35

Wala Samweli hakuenda tena kuonana na Sauli hata siku ya kufa kwake; lakini Samweli alikuwa akimlilia Sauli; naye Bwana akaghairi ya kuwa amemtawaza Sauli awe mfalme juu ya Israeli. </p>
soma Mlango wa 15

1st Samuel 15:35

Samuel came no more to see Saul until the day of his death; for Samuel mourned for Saul: and Yahweh repented that he had made Saul king over Israel.