1 Mambo ya Nyakati 9 : 22 1st Chronicles chapter 9 verse 22

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 9:22

Hao wote waliochaguliwa kuwa wangojezi wa malango walikuwa watu mia mbili na kumi na wawili. Nao wakahesabiwa kwa nasaba katika vijiji vyao, ambao Daudi na Samweli, huyo mwonaji, walikuwa wamewaweka katika kazi yao waliyoamaniwa.
soma Mlango wa 9

1st Chronicles 9:22

All these who were chosen to be porters in the thresholds were two hundred and twelve. These were reckoned by genealogy in their villages, whom David and Samuel the seer did ordain in their office of trust.