1 Mambo ya Nyakati 8 : 40 1st Chronicles chapter 8 verse 40

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 8:40

Na wana wa Ulamu walikuwa watu hodari wa vita, wapiga upinde, nao walikuwa na wana wengi, na wana wa wana, watu mia na hamsini. Hao wote ndio waliokuwa wana wa Benyamini. </p>
soma Mlango wa 8

1st Chronicles 8:40

The sons of Ulam were mighty men of valor, archers, and had many sons, and sons' sons, one hundred fifty. All these were of the sons of Benjamin.