1 Mambo ya Nyakati 29 : 1 1st Chronicles chapter 29 verse 1

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 29:1

Kisha mfalme Daudi akawaambia kusanyiko lote, Sulemani mwanangu, ambaye Mungu amemchagua peke yake, akali ni mchanga bado na mwororo, nayo kazi hii ni kubwa; kwani nyumba hii ya enzi si kwa mwanadamu, ila kwa Bwana, Mungu.
soma Mlango wa 29

1st Chronicles 29:1

David the king said to all the assembly, Solomon my son, whom alone God has chosen, is yet young and tender, and the work is great; for the palace is not for man, but for Yahweh God.