1 Mambo ya Nyakati 25 : 3 1st Chronicles chapter 25 verse 3

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 25:3

Wa Yeduthuni; wana wa Yeduthuni; Gedalia, na Seri, na Yeshaya, na Hashabia, na Matithia, [na Shimei], watu sita; walioamriwa na baba yao Yeduthuni mwenye kinubi, aliyetabiri katika kumshukuru na kumsifu Bwana.
soma Mlango wa 25

1st Chronicles 25:3

Of Jeduthun; the sons of Jeduthun: Gedaliah, and Zeri, and Jeshaiah, Hashabiah, and Mattithiah, six, under the hands of their father Jeduthun with the harp, who prophesied in giving thanks and praising Yahweh.