1 Mambo ya Nyakati 21 : 22 1st Chronicles chapter 21 verse 22

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 21:22

Ndipo Daudi akamwambia Arauna, Unipe mahali pa kiwanja hiki, ili kwamba nimjengee Bwana madhabahu hapa; kwa thamani yake kamili utanipa; ili kwamba tauni izuiliwe katika watu.
soma Mlango wa 21

1st Chronicles 21:22

Then David said to Ornan, Give me the place of this threshing floor, that I may build thereon an altar to Yahweh: for the full price shall you give it me, that the plague may be stayed from the people.