1 Mambo ya Nyakati 17 : 24 1st Chronicles chapter 17 verse 24

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 17:24

Jina lako na liwe imara, likatukuzwe milele, kusema, Bwana wa majeshi ndiye Mungu wa Israeli, naam, Mungu juu ya Israeli; na hiyo nyumba ya Daudi mtumwa wako imefanywa imara mbele zako.
soma Mlango wa 17

1st Chronicles 17:24

Let your name be established and magnified forever, saying, Yahweh of Hosts is the God of Israel, even a God to Israel: and the house of David your servant is established before you.