1 Mambo ya Nyakati 5 : 10 1st Chronicles chapter 5 verse 10

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 5:10

Na katika siku za Sauli wakapigana vita na Wahajiri, ambao waliangushwa kwa mikono yao; nao wakakaa katika hema zao katika nchi yote upande wa mashariki wa Gileadi.
soma Mlango wa 5

1st Chronicles 5:10

In the days of Saul, they made war with the Hagrites, who fell by their hand; and they lived in their tents throughout all the [land] east of Gilead.