1 Mambo ya Nyakati 29 : 22 1st Chronicles chapter 29 verse 22

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 29:22

wakala na kunywa mbele za Bwana siku ile, kwa furaha kuu. Wakamtawaza Sulemani, mwana wa Daudi, mara ya pili, wakamtia mafuta mbele za Bwana, awe mkuu, na Sadoki awe kuhani.
soma Mlango wa 29

1st Chronicles 29:22

and ate and drink before Yahweh on that day with great gladness. They made Solomon the son of David king the second time, and anointed him to Yahweh to be prince, and Zadok to be priest.