1 Mambo ya Nyakati 21 : 29 1st Chronicles chapter 21 verse 29
Swahili | English Translation |
---|---|
1 Mambo ya Nyakati 21:29
Kwa maana ile maskani ya Bwana, aliyoifanya Musa jangwani, na madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, vilikuwapo wakati huo mahali pa juu pa Gibeoni.
|
1st Chronicles 21:29For the tent of Yahweh, which Moses made in the wilderness, and the altar of burnt offering, were at that time in the high place at Gibeon. |