Hesabu 8 : 26 Numbers chapter 8 verse 26

Swahili English Translation

Hesabu 8:26

lakini watatumika pamoja na ndugu zao katika hema ya kukutania, kushika ulinzi, lakini wasitumike katika huo utumishi tena. Ndivyo utakavyowafanyia Walawi katika mambo ya ulinzi wao. </p>
soma Mlango wa 8

Numbers 8:26

but shall minister with their brothers in the Tent of Meeting, to keep the charge, and shall do no service. Thus shall you do to the Levites concerning their duties."