Mwanzo 41 : 56 Genesis chapter 41 verse 56

Mwanzo 41:56

Njaa ikawa katika dunia yote pia. Yusufu akazifungua ghala zote, akawauzia Wamisri. Njaa ikawa nzito katika nchi ya Misri.
soma Mlango wa 41

Genesis 41:56

The famine was over all the surface of the earth. Joseph opened all the store-houses, and sold to the Egyptians. The famine was severe in the land of Egypt.
read Chapter 41