Mwanzo 41 : 54 Genesis chapter 41 verse 54

Mwanzo 41:54

ikaanza kuja miaka ile saba ya njaa, kama vile Yusufu alivyosema. Kukawa na njaa katika nchi zote, bali katika nchi yote ya Misri palikuwa na chakula.
soma Mlango wa 41

Genesis 41:54

The seven years of famine began to come, just as Joseph had said. There was famine in all lands, but in all the land of Egypt there was bread.
read Chapter 41