Mwanzo 41 : 36 Genesis chapter 41 verse 36

Mwanzo 41:36

Na hicho chakula kitakuwa akiba ya nchi kwa ajili ya miaka hiyo saba ya njaa, itakayokuwa katika nchi ya Misri, nchi isiharibike kwa njaa.
soma Mlango wa 41

Genesis 41:36

The food will be for a store to the land against the seven years of famine, which will be in the land of Egypt; that the land not perish through the famine."
read Chapter 41